Here are the complete lyrics of the song "OBSESHEN" by Rapcha, including background, meaning, and song info.
OBSESHEN by Rapcha Mh Temptation Vitamu vingi hunipa temptation Baby we hupaga mimi temptation Kutapatapa hii ni obseshen I can pull up any location Soon as utaponipa direction Baby we hupaga mimi temptations Yani unanipaga mingi temptations Last night ilikua interesting In the house niko VIP section Shawty kaja nipa Hi na her bestfriend Nafungua mikono anikumbate, next thing Kanikumbatia nikapapasa waist Masukudi nione kama atani’question Shawty hakumind mi ku count waist beads Nikajua tayari yuko interested Exchange number nikatype real quick Maybe tunaweza kukutana next week Jibu kanipa kwa facial expression Sikuhitaji mambo yawe complicated Nikamuuma sikioni Vipi tuki sneak mbezi Beach tundondoke home Shawty akaniambia don’t worry Kesho siku nzima yuko off and yuko really on it Mh Temptation Vitamu vingi hunipa temptation Baby we hupaga mimi temptation Kutapatapa hii ni obseshen I can pull up any location Soon as utaponipa direction Baby we hupaga mimi temptations Yani unanipaga mingi temptations Amevaa outfit ya doller 500 ila bado Nikimtazama mi namuona naked Nikamshika mkono tukaiacha party macho yote kwetu Body yake ikiwa celebrated Dakika 15 tuko nje ya gari tumekutanisha lips Tuna meza mate na kuspit Mikono iko busy na her body parts anafeel kila pinch Hamna kitu anachoweza ku resist Damu ni Usain Bolt inavyochanganya kwata Shawty akanishusha trouser nikaelewa kinachofata Akakishukia kipaza hata kabla hajaanza ku perform Tunaskia hatua ka’ kuna mtu anatufata Kumbe Shawty mboga 7 leo katoroka home Baada ya kusikia 99 leo wanaperform Baba ake kaibuka hadi kiwanja kumfata Bahati nzuri nlichomoka fasta akambeba shawty akampeleka home But I don’t mind I don’t mind Tushapeana phone namba zetu long time Afu nkakumbuka kwamba kesho aliniambia yuko off and yuko really on it Mh Temptation Vitamu vingi hunipa temptation Baby we hupaga mimi temptation Kutapatapa hii ni obseshen I can pull up any location Soon as utaponipa direction Baby we hupaga mimi temptations Yani unanipaga mingi temptations Whine whine pon it nipe motivation Moti moti moti motivation Whine pon it gimmie motivation Moti moti moti moti moti moti moti
The song "OBSESHEN" by Rapcha is often interpreted as a reflection on emotional struggles, inner pain, and raw self-expression. The lyrics dive into personal feelings and vulnerability.
Rapcha is an emerging artist known for emotional and expressive music, often categorized under underground hip-hop or pop.
You can stream the song on platforms such as Spotify, YouTube, SoundCloud, and Apple Music.
There may be unofficial uploads on YouTube, but Rapcha has not released an official music video at the time of writing.