Here are the complete lyrics of the song "DONT PLAY THIS SONG" by Rapcha, including background, meaning, and song info.
DONT PLAY THIS SONG by Rapcha feat. Leysir Brown Verse 1 Smoking everyday hoping I will die sober Wallet haijashiba and na nna get much older Dunia haina mwenyewe so kataa uoga All ass kissers don’t play this song Straight up Success haiwi overnight Ndoto niliyonayo kubwa ila I’m sure haiko oversize Ingawa huu ni mziki wa kidunia hata huyo Shetani asingeweza rap hivi, On God Ndoto yangu kubwa kabla ya kutamani nyumba na magari nlitamani kuiona Mbingu Mungu akanibariki vingi zaidi ya nyumba na magari na akafanya nkiwa duniani nikaiona Mbingu Safina ikirudi mara ya pili sijui kama hata ntapata nafasi Wenye nafasi wamejaa ubinafsi Binafsi wanangu ntawakumbusha kila asubuhi Wasitumie pesa kutafuta vitu ambavyo pesa hainunui Iwe normal tu kusema hapana Tena of course tunaingia sana hasara kwa kukwepa lawama Tena mostly kwa kufurahisha wana So ukiona sijawahi kuku’impress don’t play this song Cosmas P Kila nilichokosa shule nakipata kwenye kila conversation na P Nikihema juu ya beat ni Hit Ukali wangu upo kwenye ngoma zangu ambazo huzizingatii Chorus: Leysir Brown Sina time ya mchezo Mr devil leo haunipati Sitaki kujieleza, sina tena mpango wa kupoteza wakati Macho kwenye pay I’m on a mission Bado siwezi relax Macho kwenye pay Mishe mishe ziko macho day and night Uuuh uuh Uuhh uuh Uuuh uuh Uuhh uuh Verse 2 MVP kwenye pitch I’m a real star Sense in everything I spit kwenye each bar ‘ucking this game na style zote linakaa Hawa Polisi hawaleti peace wanatunyima raha Niwe faraja kwenye vilio Mi sihitaji kuwa maarufu nahitaji tu dunia nzima inipe sikio So ukihisi Mfoy anatafuta ustaa social media wala usipoteze mb don’t play this song Na ntapiga billion streams muda ambao wote mtapagawa Mkiwa busy kuwalea machawa Busy mkijiuliza tu kwanini wasanii hawapatani Wakati swali linatoka kwa wanaowagawa Hamna power Mziki umechange my story Sitosahau siku Father P ananipa deal ya over 20 milli Kila siku mpya naongezeka akili sio mwili Big shoutout whoever play my songs Nnavyozidi kwenda juu nazidi kuwa mpweke tu Sometimes nacheka mbele ya camera tu Sometimes huwa nacheka ili tu nifiche yanayonisibu But only God knows what I’m going thru Drinking everyday, hoping i will die sober Iwe normal tu kusema sitaki Binafsi wanangu ntawakumbusha kila asubuhi Wasitumie pesa kutafuta vitu ambavyo pesa hainunui hook: Rapcha Winning everything i win i win i win Win i win i win i win win i win I win i win i win i win i win i win i win
The song "DONT PLAY THIS SONG" by Rapcha is often interpreted as a reflection on emotional struggles, inner pain, and raw self-expression. The lyrics dive into personal feelings and vulnerability.
Rapcha is an emerging artist known for emotional and expressive music, often categorized under underground hip-hop or pop.
You can stream the song on platforms such as Spotify, YouTube, SoundCloud, and Apple Music.
There may be unofficial uploads on YouTube, but Rapcha has not released an official music video at the time of writing.